Posts

Showing posts with the label LIVESTOCK

DAWA YA ASILI YA KUKU

Zipo dawa tofauti za asili zinazopatikana kirahisi kwenye mazingira ya vijijini ambazo zina uwezo wa kutibu magonjwa ya kuku. Katika mada hii taelezea baadhi ya dawa hizo. Dawa ya kutibu Kuku Kuharisha namna yoyote Mmea unaotumiwa ni Mpapa:Kuandaa Kata jani moja bichi la Mpapai na uliponde ponde lilainike kiasi. Kisha changanya na maji kiasi cha litambili na nusu. Kutumia (kwa tiba)- Kuku wapewe maji hayo wanywe,wasipewemaji mengine kwa ajili ya kunywa kwa siku angalau nne au zaidi.- Inafaa zaidi kila siku kuwaandalia dawa mpya ili dawa isiharibike. Kutumia (kwa kinga)- Hata kama kuku hawaharishi, wakizoeshwa kunywa maji yenye majani ya mpapai yaliyopondwa angalau mara tatu kwa wiki watakingwa magonjwa mengi.Njia nyingine ya kutumia Mpapai: Kuandaa na Kutumia- Chukua majani ya Mpapai uyatwange upate kisamvu chake kiasi cha kilo 1.- Changanya kisamvu hicho na pumba lita 2.- Waweza kuongezea maji kidogo na kuwapatia kuku wanaoumwa watumie chakula hicho hadi wapone. Kama kuku ni ...

KUKU WA KIENYEJI

Ufugaji wa kuku wa kienyeni ni nyenzo muhimu katika kupambana na wimbi la umasikini kwa kuongeza kipato cha kaya. Hata hivyo, pamoja na soko la uhakika, bado ufugaji kuku haujaweza kutumika ipasavyo kupambana na umaskini unaowakabili Watanzania wengi. Ni mazoea kwa jamii nyingi hapa Tanzania kufuga kuku wa asili kama sehemu ya mila na desturi zao. Kuku wa asili amekuwa akifugwa bila ya kupatiwa huduma muhimu kama makaazi bora, chakula cha ziada, tiba, kinga za magonjwa mbali mbali. Muhtasari huu unatoa muongozo wa ufugaji wa kuku wa asili ili uweze kuzalisha na hatimae kukuza kuku kwa wingi. Dondoo ya 1 Usafi wa vyombo na mazingira ya kuku Uchafu ni mama wa magonjwa, hivyo zingatia haya; 1.  Vyombo vya chakula na maji visafishwe mara kwa mara kwa maji safi na sabuni. 2.  Pumba au chakula kilicholowana na kuchanganyika na kinyesi cha kuku kitolowe na kufukiwa. 3.  Choma moto au zika kwenye shimo refu kuku waliokufa kwa ugonjwa. 4.  Usifuge ...

RABBITS KEEPING

Image
Before you decide to keep rabbit sure that you have donated and have time to serve animals, their breeding is not as easy as it is for breeding cats or dogs, rabbits need attention and discharge in sanitation because it is easier for them to get rid of bad and dirty illnesses THANDA There are two types of laundry boards are that of closing them all out of the outside and the second is the second half that they have boards and they can come out of the special courtyard, in both cases it is necessary to ensure no entry Allow the mouse to pass because they are eating rabbit babies. PERSONAL FOOD 1 - Do not use the glass bridge (aquarium) because it is insufficient and it is difficult to clean up 2 - The floor of the wire nets is much better but make sure there are no sensitive parts that can hurt the rabbit, since they are injured until they are self-contained or inflammatory because using antibiotic rabbit does not have the ability to squeeze and burn in the body, the day to k...

DOGS KEEPING

Image
This most reliable animal is the most reliable of all domestic animals There are those who are also raising her because they treat her as their 'pet'. Do you know the dog is a gambling for some of the guys? This animal has enlarged some of the valued breeders.      These dogs are hunted and maintained on three goals, sneaver dogs, guard dogs and security guards. Dogs bear twice a year where they carry pregnancy for 63 days (2 months). One dog normally produces between 8 and 12 drops. Nutrition      She needs only a good nutrition that the illnesses that affect her are less than other animals. "Nutrition is an essential ingredient for dogs, consumed with food consumes even though there are other foods purchased in the shops,". Wheelchairs are fed twice a day while the weighty and mature are presented once a day. It is known for meat, skeletal bones, real dog's 'dog dog', rice cereals, 'omega' fish or food dishes.   "Its diet is m...

QUAIL KEEPING

Image
LEARN HOW TO KEEP QUAIL  Formerly it is a bird community that is currently being dropped into homes with those who eat eggs like chicken or duck and in bulk. These plane are 280gm - 300gm, with brown, black or even white-colored sculptures and brown or gray. Their feathers also have brown or white colors that are fascinating. Grinding and stinging For a male to plant a female for a while, then the female is ready to dig and spray 290 to 310 eggs a year (this corresponds to the best diet she will receive). Kware eggs are administered for 18 days and begin to be boiled for 2 days, from 18 to 20 days. The best way to eliminate Kware eggs is by using an incubator where eggs are administered in large quantities within 18 days. Take care of chicks and food Day 1 - 7 Deliver food for "STARTER PELLET" with sufficient water. Day 1 place 'GLUCOSE' in water, 1 packet per 20 liters of water, and second to fifth place Amin Total in water, Give only water on the six...

UFUGAJI WA NYUKI

Image
Habari ya shughuli mbalimbali za maendeleo ya nchi yetu, natumai mu wazima bukheri wa afya njema Leo nawaleteeni somo la ufugaji wa nyuki kama ifuatavyo     Kwa kawaida makundi ya nyuki katika nchi ya Tanzania na baadhi ya nchi zinazolingana kwa tabia za nchi, makundi ya nyuki huanza kutafuta sehemu salama na yenye chakula kwa wingi kuanzia mwezi wa kumi katika mwaka mpaka mwezi wa nne kwa mwaka unaofuata.Kipindi hiki huwa na makundi mengi yanayozunguka hapa na pale kutafuta nyumba ambayo itawafaa kwa ajili ya makazi yao na kwa ajili ya kuhifadhia chakula. Hiki ndio huwa kipindi muafaka sana kwa wafugaji kuanza kutega mizinga ambayo imeshaandaliwa kwa ajili ya kufugia nyuki.Kwa kuwa makundi mengi huwa yanatafuta sehemu za makazi hivyo ni rahisi sana kuyakama na kuyahifadhi makundi hayo kwa ajili ya uzalishaji wa mazao ya nyuki. Kutokana na hilo, mfugaji anapaswa kuanza kuandaa sehemu ya kufugiua nyuki na mizinga yake mapema zaidi kabla ya msimu huo kufika ili asiw...

UFUGAJI WA KUKU WA KIENYEJI

      Napenda kumshukuru mwenyezi Mungu ambaye ameniwezesha kwa namna moja au nyingine kutoa mchango wangu kwa mtindo huu. Huu ni kama mwongozo tu wa nini utakabiliana nacho au unatakiwa kufanya katika zoezi zima la ufugaji wa kuku wa kienyeji. A.KWA NINI KUKU WA KIENYEJI? 1. Wastahimilivu wa magonjwa lakini ni muhimu wakikingwa na magonjwa ya kuku kama mdondo, ndui ya kuku n.k ili kuweza kuwaendeleza. 2. Wana uwezo wa kujitafutia chakulaardhini. 3. Wana uwezo wa kuatamia mayai, kutotoa na kulea vifaranga na ustahimilivu wa mazingira magumu kama ukame, baridi n.k 4.Nyama na mayai yake vina ladha nzuri kuliko kuku wa kisasa.(PATA SUPU YA KUKU WA KIENYEJI ILI UTHIBITISHE) 5. Wana uwezo wa kujilinda na maadui kama mwewe n.k . Pamoja nasifa hizi ni muhimu muhimu kuku haowakapewa matunzo mazuri, wakawekwa kwenye mabanda mazuri, wakapewa maji na chakula cha kutosha. B.FAIDA ZA KUKU WA KIENYEJI. Faida ni nyingi na zinafahamika lakininitaeleza zile ambazo kwa...