Posts

A TALE OF ABUNUWASI AND THE KING

ONE evening dawn, when residents of the city where most residents were going to draw water in the river, they were surprised to see the man's hand lying in the middle of the river. That wonderful hand had stretched out two fingers on top, showing the two marks. The people were deeply disturbed by the act, and they were afraid to even draw water into the river, as they had never seen such a frightening event. Some believed that it was the body of a person who was thrown into the river. But the sign shown by that hand made the people believe that was a wonderful hand. In the thick gloom around the heads of the people, news reached their King, and he soon came to the scene. The king of the country after being convinced that it was an extraordinary hand and was put by people of faith, he gave three days the hand to be removed, otherwise he would bring experts from different parts of the world to identify the characters. Three days after the King's death ended, experts fro...

MASAL MASAL NA HISTORIA YAKE

Image
           Masal Masal alizaliwa mnamo 14/02 /1994 huko mkoani Tabora katika jamii ya wafugaji (wasukuma) na ndiye mwanzilishi wa blog ya hii ya kilimo na ufugaji,         Alianza safari ya Elimu yake mnamo mwaka 2005 Mpango Wa Elimu ya Msingi Kwa wale Walioikosa(MEMKWA) na mwaka uliofuata alifanya mtihani wa taifa Darasa la nne na alifaulu vizuri hivyo akaruhusiwa kuingia darasa la Tano na kuhitimu elimu ya msingi 2009        Mnamo 2010 alibahatika kuchaguliwa kujiunga na elimu ya sekondari katika shule ya sekondari ya Ilemba iliyopo katika kata ya Ilemba wilayani Sumbawanga mkoa wa Rukwa    Mwaka 2013 alistahili kuhitimu kidato cha nne lakini haikuwa bahati kwake kwani aliugua wiki moja kabla ya mtihani na kupeleka kushindwa kufanya mtihani, kwa kuwa alikuwa ni mtu mwenye kupenda shule, alitamani afike mbali kimasomo, alijilazimisha kufanya mtihani ilhali al...

SIMULIZI :JIJI LA NEWYORK

Image
Kila Mmarekani alikuwa na shauku ya kuitazama timu yao ya mpira wa kikapu ya New York Buckets ambayo ilikuwa ikitarajiwa kushiriki mashindano ya dunia ya klabu ya mpira wa kikapu ambayo yalitarajiwa kufanyika, Shanghai nchini China wiki inayofuata. Kwa wakati huo hakukuwa na ushabiki wa timu moja tena, mashabiki wale ambao walikuwa wakiishabikia La Lakers, Chicago Bulls na timu nyingine katika Ligi ya NBA wakaunganisha nguvu zao kwa kuipa nguvu timu ya New York Buckets ili iweze kushinda mashindano hayo ya dunia. Idadi kubwa ya Wamerekani hasa wale waliokuwa wakipenda mchezo wa kikapu wakawa na bendera nyingi za New York Buckets mikononi mwao. Waandishi wa habari hawakuwa mbali, kila wakati walikuwa wakirusha kwenye televisheni mbalimbali mazoezi ambayo yalikuwa yakifanyika katika uwanja wa mazoezi ambao ulikuwa katikati ya Jiji la New York, The Margedonians. Ingawa Waingereza mara kwa mara walikuwa wakiitangaza timu yao ya mpira wa kikapu ya The Buffalloes lakini wakaonekana kuanz...