MASAL MASAL
Masal masal ni mwanzilishi wa blog hii ya kilimo na ufugaji, Amezaliwa mnamo 14/02/1994
Amezaliwa ktk familia za wafugaji(wasukuma) na alianza kusoma ktk Mpango wa Elimu ya Msingi Kwa wale Walioikosa MEMKWA 2005 na kuhitimu elimu ya msingi 2009, kidato cha nne 2013 na mpaka inaandikwa makala hii ni mwanafunzi wa kujitegemea kidato cha sita

Comments
Post a Comment